By Jamhuri
Na Mwandishi Wetu Rais mstaafu wa Awamu ya Nne, Dk Jakaya Kikwete amesema Tanzania imepiga hatua kubwa kuhakikisha watoto wanapata elimu na kusaidia kupunguza idadi ya watoto wa mtaani. Akizungumza Julai 14, katika shule ya Kibasala jijini Dar es Salaam…
The post JK: Tanzania imepiga hatua kubwa sekta ya elimu first appeared on JAMHURI MEDIA.